Tanzania news

  • Rushwa yavuruga uchaguzi wa CCM

    Rushwa yavuruga uchaguzi wa CCM

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefuta matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu na kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho katika mikoa ya Mbeya…

  • TCRA: Watumiaji wa fedha kwa njia ya mtandao wameongezeka

    TCRA: Watumiaji wa fedha kwa njia ya mtandao wameongezeka

    Taarifa ya utendaji kazi ya Mamlaka hiyo kwa mwaka 2022/23 inaonyesha kuwa akaunti za pesa kwa simu za mkononi zimeongezeka na kufikia watumiaji 39,590,502 mwezi Septemba mwaka huu kutoka watumiaji 35,201,960 walioripotiwa Mwezi Januari mwaka…

  • Chanzo cha kufeli kwa mawakili nchini Tanzania chawekwa wazi

    Chanzo cha kufeli kwa mawakili nchini Tanzania chawekwa wazi

    Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria nchini.

  • Wabunge nchini Ghana wamhoji waziri wa fedha

    Wabunge nchini Ghana wamhoji waziri wa fedha

    Serikali ya rais Nana Akufo-Addo inakabiliwa na ukosoaji unaojiri wakati ambapo serikali yake inajadiliana hadi dola bilioni 3 za mkopo kutoka kwa shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kusaidia kufadhili fedha za umma.

  • Tanzania yapewa msaada wa bilioni 210 kutoka Ujerumani

    Tanzania yapewa msaada wa bilioni 210 kutoka Ujerumani

    Ujerumani imetangaza uamuzi huo mjini Berlin baada ya kukamilika kwa majadiliano kati ya ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Ujumbe wa Ujerumani ulioongozwa na Naibu…

  • Nape:TRA tumieni taaluma kukusanya kodi msitumie nguvu

    Nape:TRA tumieni taaluma kukusanya kodi msitumie nguvu

    Nape ametoa kauli hiyo jijini  Dar es Salaam wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa walipa kodi bora mwaka 2021/2022.

  • Beer sales banned around Qatar World Cup stadiums: FIFA

    Beer sales banned around Qatar World Cup stadiums: FIFA

    Football’s world body said the decision was taken following “discussions” with World Cup hosts Qatar, an Islamic state which severely restricts alcohol consumption.

  • Tiketi za Kombe la Dunia Nchini Qatar ndio ghali Zaidi Kuwahi kushudiwa-Utafiti

    Tiketi za Kombe la Dunia Nchini Qatar ndio ghali Zaidi Kuwahi kushudiwa-Utafiti

    Wakati mashabiki nchini Urusi walilipa takriban pauni 214 (31, 1000) kwa tikiti za mechi nchini Qatar zinagharimu pauni 286 (41,000) kulingana na utafiti wa Keller Sports.

  • Mtoto afariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta

    Mtoto afariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah, alisema tukio hilo limetokea Novemba 10, majira ya saa 10 jioni wakati mtoto aliporudi shule na kukuta mlango wa nyumbani kwao umefungwa na kuamua kujikinga kwenye boma…

  • UNICEF:Ubaguzi wa rangi na ubaguzi dhidi ya watoto umeenea duniani kote.

    UNICEF:Ubaguzi wa rangi na ubaguzi dhidi ya watoto umeenea duniani kote.

    Taarifa iliyotolewa leo na UNICEF kutoka New York Marekani imeeleza kuwa katika utafiti uliofanywa kwenye nchi 22 za kipato cha chini na cha kati umeonesha jinsi watoto wanavyobaguliwa katika afya, kupata rasilimali zinazotolewa na serikali,…