NACTE yafungia matokeo ya watahiniwa 540, na kufungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezuia matokeo ya watahiniwa 540 kutoka vituo sita vya mitihani ndani ya jiji la Dar es Salaam baada ya kugundulika kufanya udanganyifu.