Adaiwa kumuua mwanaye kwa kipigo
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Maili Makori amesema wanawasaka wazazi wa mtoto huyo waliotoweka mara baada ya mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Maili Makori amesema wanawasaka wazazi wa mtoto huyo waliotoweka mara baada ya mauaji hayo.
Moto huo ulianza tarehe 21 mwezi oktoba karibu na eneo la Karanga linalotumiwa sana na wanaokwea mlima huo.
Simbachawene ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa jimbo la Mbagala, Abdalah Chaurembo aliyetaka kufahamu kauli ya serikali juu ya mapunjo ya fidia kwa wananchi walioathirika na mlipuko wa mabomu jimboni kwake.
Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dkt Godwin Mollel ni kwamba wanawake 263 wamepoteza maisha kutokana na uzazi katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2021, huku miongoni mwa sababu zikielezwa kuwa ni dawa za ganzi, upasuaji wakati wa kutolewa mtoto tumboni, tatizo la damu kuganda na maambukizi ya bakteria baada ya upasuaji.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana tarehe 1 Novemba 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Modestus Lumato, ilieleza kuwa bei hizo zitaanza kutumika leo tarehe 2 Novemba, 2022 saa 6.00 usiku, zimeshuka ikilinganishwa na bei za Oktoba 2022 kwa sababu ya ruzuku.
Rais Samia Suluhu ameshiriki katika Kongamano la Nishati safi iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati chini ya Waziri January Makamba.
Jumla ya watu wote Tanzania ni 61,741,120 kati ya hao watu 59,851,357 wapo Tanzania bara na watu 1,889,773 wapo Zanzibar
Wakazi milioni 5.5 watakwenda bila maji ya bomba kwa saa 24 kwa siku mbadala, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema.
Ubalozi wa China nchini Tanzania ulisema kuwa ni propaganda dhidi ya kukua kwa uhusiano wake kati ya Afrika na China unaoenezwa na vyombo vya habari vya magharibi
Waziri Ummy amesema hayo jana 18 Oktoba 2022 wakati akiwasilisha muswada huo mbele ya Kamati ya Kudumu ya huduma na Maendeleo ya Jamii kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.