tundu lissu
-

Lissu Aanza Kujitetea Mwenyewe Kesi Ya Uhaini, Akumbushia Kupigwa Risasi
Lissu amekuwa shahidi wa kwanza wa utetezi na ameanza kutoa ushahidi wake chini ya kiapo, akieleza kuwa hajawahi kutoa ushahidi mahakamani na hivyo kuomba aongozwe katika hatua hiyo.
-

Lissu Kuanza Kujitetea Leo, Uamuzi wa Pingamizi la Jamhuri Ukisubiri
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza kujitetea leo, Ijumaa Agosti 21, 2026, katika kesi ya uhaini inayomkabili, huku Mahakama Kuu ikijiandaa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi lililowasilishwa na upande wa Jamhuri dhidi ya baadhi ya…
-

Kesi ya Tundu Lissu: Safari kutoka kukamatwa Mbinga hadi kusubiri uamuzi wa Mahakama
Safari ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imechukua zaidi ya mwaka mmoja tangu alipokamatwa katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Aprili 9, 2025.
-

Mahakama Kuamua Iwapo Lissu ana Kesi ya Kujibu Baada ya Serikali Kufunga Ushahidi
Kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, Jamhuri imeiambia Mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi uliokwisha kutolewa na kuuchambua pamoja na ushahidi uliokuwa umebaki, imejiridhisha kuwa hakuna sababu ya kuendelea kuwaita mashahidi wengine.
-

Shahidi Akwamisha Kesi ya Lissu, Mahakama Yaahirisha hadi Jumatatu
Lissu ameendelea kupinga kuahirishwa kwa kesi hiyo akidai kuwa upande wa Jamhuri umekuwa ukiomba kuahirishwa kwa kesi mara kwa mara bila Mahakama kuchukua hatua dhidi yao.
-

Shahidi wa Kificho Asema Ana Hofu Kutoa Ushahidi Hadharani Katika Kesi ya Uhaini ya Lissu
Shahidi wa kificho katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameieleza Mahakama Kuu kuwa ana hofu ya kutoa ushahidi wake hadharani, akisema suala hilo ni “very sensitive” na kwamba wafuasi wa chama…
-

Kesi ya Lissu: Shahidi Akiri Kutoeleza Tofauti ya Ushahidi wa Maelezo ya Polisi na Aliotoa Mahakamani
Lissu: Shahidi, nataka kwanza nianze na maswali yangu ya jana kuhusu tofauti kati ya ushahidi ulioutoa kwenye maelezo ya polisi na ushahidi ulioutoa kizimbani. Waeleze Waheshimiwa Majaji kama unaamini maelezo yako yanapaswa kuaminiwa na mahakama.…
-

Lissu Aibua hoja Kuhusu Uchaguzi na Tuhuma za Uhaini
Katika mahojiano yake ya maswali ya dodoso kwa shahidi, Lissu alitaka shahidi aeleze iwapo hotuba yake ilikuwa ikizungumzia masuala ya uchaguzi na changamoto za mfumo wa uchaguzi nchini.
-

Lissu Ahoji Ushahidi wa Shahidi Kutofautiana na Maelezo ya Ushahidi Uliopo Mahakamani
Shahidi alikiri kuwa jina la Tundu Lissu lilikuwepo katika maelezo hayo, lakini alikanusha kuwa aliandika kwamba aliona jalada lililomtaja Tundu Antipus Lissu alipofika kwa Naibu ZCO George Bagemu.








