tundu lissu
-

Mpelelezi Mkuu katika kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, aeleza mbinu alizotumia kumpeleleza Lissu
Shahidi huyo ni Kamishna Msaidizi wa Polisi, Amini Mahamba, ambaye ndiye mpelelezi mkuu wa kesi hiyo mwenye umri wa miaka 50, ambaye amesema amekuwa akifanya kazi katika Jeshi la Polisi tangu mwaka 2000 na kwa…
-

CHADEMA: Hakuna mazungumzo ya siri, Lissu aachiliwe huru kwanza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijawahi kufanya mazungumzo ya siri na serikali kuhusu maridhiano ya kisiasa, kikisisitiza kuwa msimamo wake unabaki ule ule wa kutaka Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuachiwa huru…
-

Chadema yadai Tundu Lissu yuko hatarini gerezani, yataka hatua za haraka
Katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatatu, Julai 27, na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho, Brenda Rupia, CHADEMA imesema imepokea taarifa kutoka kwa shirika la World Liberty Congress, linalojihusisha na…
-

Shahidi Wa Jamhuri Asema Hajui Kama Lissu Ni Wakili Kitaaluma
Shahidi wa nne katika kesi ya Kikatiba ambaye ni Mkuu wa Gereza la Ukonga Edward Shabani amesema hafahamu wala hajui kwamba Tundu Lissu ni Wakili kitaaluma na aliwahi pia kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria…
-

SHAHIDI: SITAWARUHUSU VIONGOZI WA CHADEMA KUMUONA LISSU GEREZANI MPAKA KESI IISHE
Shahidi wa nne, Endrew Shabani Kamanyiro, mwenye umri wa miaka 57 na Mkristo kwa dini, alijitambulisha kuwa Mkuu wa Gereza Kuu la Ukonga. Katika ushahidi wake, alikiri kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kusimamia shughuli zote…
-

Lissu awataka wanachama kuichangia CHADEMA, kesi ya kikatiba yaendelea Mahakama Kuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuendelea kuchangia chama na Baraza Kuu, wakati akiwasili katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, ambako usikilizwaji…
-

Serikali ya Tanzania yakosoa makala ya BBC kuhusu Tundu Lissu
Serikali ya Tanzania imeikosoa makala iliyochapishwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha BBC Africa Eye, ikidai kuwa imewasilisha taarifa zisizo na uwiano kuhusu kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu.









