“Hamna tofauti kati ya uongozi wa Magufuli na wa Rais Samia Suluhu Hassan”Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimekuwa kikiendeleza msukumo wa kupatikana kwa katiba mpya nchini humo. Mwenyekiti wa chama cha...

0
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe

Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimekuwa kikiendeleza msukumo wa kupatikana kwa katiba mpya nchini humo. Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe kwa sasa anazuiliwa na polisi kwa madai ya uhaini baada ya kuvamiwa na polisi kwenye hoteli moja mjini Mwanza alikwenda kufanya mkutano wa chama. Kesi yake imepigwa kalenda kwa mara nyingine tena na sasa itasikizwa 27 Agosti.

Je, Tanzania itafaulu kupata katiba mpya chini ya urais wa Samia Suluhu Hassan?

Hapo awali,Mwanzo Tv, ilifanya mahojiano ya kipekee na Mhe. Freeman Mbowe kuhusu kupatikana kwa katiba mpya, uongozi wa Rais Samia Suluhu na iwapo Tanzania itapata mabadiliko chanya chini ya uongozi huo.

In this article

East Africa Premier News Source with Top Stories, Special Features and more.
Uncensored & Undaunted