Politics
-

Tundu Lissu seeks acquittal as prosecution closes treason case
A ruling is expected to be delivered on Friday, August 21, 2026, at 9:00 AM
-

Mahakama Kuamua Iwapo Lissu ana Kesi ya Kujibu Baada ya Serikali Kufunga Ushahidi
Kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, Jamhuri imeiambia Mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi uliokwisha kutolewa na kuuchambua pamoja na ushahidi uliokuwa umebaki, imejiridhisha kuwa hakuna sababu ya kuendelea kuwaita mashahidi wengine.
-

Shahidi Akwamisha Kesi ya Lissu, Mahakama Yaahirisha hadi Jumatatu
Lissu ameendelea kupinga kuahirishwa kwa kesi hiyo akidai kuwa upande wa Jamhuri umekuwa ukiomba kuahirishwa kwa kesi mara kwa mara bila Mahakama kuchukua hatua dhidi yao.
-

Shahidi wa Kificho Asema Ana Hofu Kutoa Ushahidi Hadharani Katika Kesi ya Uhaini ya Lissu
Shahidi wa kificho katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameieleza Mahakama Kuu kuwa ana hofu ya kutoa ushahidi wake hadharani, akisema suala hilo ni “very sensitive” na kwamba wafuasi wa chama…
-

Lissu Aibua hoja Kuhusu Uchaguzi na Tuhuma za Uhaini
Katika mahojiano yake ya maswali ya dodoso kwa shahidi, Lissu alitaka shahidi aeleze iwapo hotuba yake ilikuwa ikizungumzia masuala ya uchaguzi na changamoto za mfumo wa uchaguzi nchini.
-

Lissu Ahoji Ushahidi wa Shahidi Kutofautiana na Maelezo ya Ushahidi Uliopo Mahakamani
Shahidi alikiri kuwa jina la Tundu Lissu lilikuwepo katika maelezo hayo, lakini alikanusha kuwa aliandika kwamba aliona jalada lililomtaja Tundu Antipus Lissu alipofika kwa Naibu ZCO George Bagemu.
-

Five things to know about Zambia ahead of the presidential vote
Straddling the border with Zimbabwe on the Zambezi River, the UNESCO World Heritage site anchors Zambia’s tourism industry alongside safari destinations such as South Luangwa and Lower Zambezi national parks.
-

Mpelelezi Mkuu katika kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, aeleza mbinu alizotumia kumpeleleza Lissu
Shahidi huyo ni Kamishna Msaidizi wa Polisi, Amini Mahamba, ambaye ndiye mpelelezi mkuu wa kesi hiyo mwenye umri wa miaka 50, ambaye amesema amekuwa akifanya kazi katika Jeshi la Polisi tangu mwaka 2000 na kwa…
-

Rais wa Tanzania azindua tume ya kuchunguza wahusika wa ghasia za uchaguzi wa 2025
Tume hiyo imepewa jukumu la kuchunguza kwa kina watu waliohusika katika ghasia hizo, ikiwa ni pamoja na kubaini waliochochea matukio hayo na waliotoa fedha au rasilimali zilizowezesha kutokea kwa ghasia.








