Tanzania news
-

Wakuu wa nchi za SADC kukutana kwa dharula kujadili hali ya amani na ulinzi wa nchini DRC
Mkutano huo unalenga kujadili juhudi za SADC katika kuimarisha hali ya amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufuatia mapigano ya muda mrefu yanayoendelea nchini humo yakitekelezwa na vikundi vyenye…
-

UTAFITI: Dar kinara kwa kiwango cha mimba kuharibika
Huo ni utafiti wa saba katika mfululizo wa utafiti wa kitaifa wa kidemografia na afya uliowahi kufanyika Tanzania mwaka 1991/92 ambapo kwa mujibu wa matokeo ya utafiti huo, taarifa za ujauzito kwa wanawake wenye umri…
-

Makonda aanza kazi kwa vijembe, awapa salamu vyama vya upinzani.
Makonda amewasili akiwa kwenye bodaboda kwa kile kilichodaiwa kuwa alishindwa kufika na gari lake kutokana na msongamano wa magari na umati wa watu uliojitokeza kwenye eneo la ofisi hiyo
-

Mwabukusi akosoa mkataba wa HGA, adai Serikali imewadanganya Wananchi, asisitiza maandamano
Mwabukusi ameeleza masikitiko yake kwa Serikali kusaini mkataba na DPW ya Dubai katika uendelezaji wa bandari ya Dar es Salaam akidai kuwa bado mapungufu hayajaondolewa na hata kipindi cha miaka 30 ya mkataba huo ni…
-

Tanzania yaendelea na makubaliano ya mkataba wa bandari na kampuni ya DP World licha ya ukosoaji
Kampuni kubwa ya usafirishaji ya Dubai DP World ilitia saini mikataba mitatu siku ya Jumapili na serikali ya Tanzania ya kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30 chini ya mkataba wenye…
-

Matumizi ya kituo cha Kivukoni mwisho leo
Kituo cha daladala cha Kivukoni jijini Dar es Salaam kitafungwa kuanzia kesho Oktoba 21 kupisha upanuzi wa kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Kivukoni awamu ya kwanza.
-

TBS yapiga marufuku uagizaji wa mitungi ya mtumba ya gesi asili kwa ajili ya magari
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wauzaji na wasambazaji wa gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya magari, pamoja na vifaa vinavyohusika katika mfumo wa gesi hiyo, kuzingatia ubora wa viwango vinavyohitajika vya vifaa hivyo,…
-

UTAFITI: Waliowekewa betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili
Utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ulihusisha wagonjwa sita ambao wamewekewa betri hiyo baada ya kufanyiwa vipimo vya mtambo mkubwa uitwao CathLab.
-

Mwakinyo kutoonekana kwenye ulingo wa ngumi ndani ya mwaka mmoja
Mwakinyo amepewa adhabu hiyo baada kugomea kupanda ulingoni September 29, 2023 katika pambano lake dhidi ya Julius Indonga kutokea Namibia kwa madai ya Promota kukiuka baadhi ya makubaliano yao..
-

Chadema yalimwa barua na Msajili wa Vyama vya Siasa, awataka wajieleze kuhusu kuchapisha maudhui yanayomdhalilisha mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu
Chama cha Demokrasia na Mendeleo CHADEMA, kimesema kimepokea barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ikiwataka wajieleze kuhusu kutengeneza maudhui yanayotajwa kuwa yanamdhalilisha Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassani.







