Mwanzo TV
-

Rais wa Burundi kugombea tena muhula ujao katika uchaguzi wa 2027
Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa rais Mei 2020 katika uchaguzi uliokumbwa na tuhuma za udanganyifu na kuondolewa kwa mpinzani wake mkuu.
-

Tume yabaini mbinu 16 zilizotumika kuratibu ghasia za Oktoba 29
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tume imepata ushahidi unaoonyesha kuwa matukio hayo hayakutokea kwa bahati mbaya, bali yalipangwa, yaliratibiwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliokuwa na maandalizi ya awali, ikiwemo kupata mafunzo maalum.
-

Heche:Hatuwezi kufanya mazungumzo yoyote kama Lissu yupo gerezani
“Tumeshasema wazi, mtu anayeweza kuongoza chama hiki kufanya maamuzi yoyote yuko gerezani. Mwachieni Lissu” alisema Heche
-

Miezi 10 ya kimya cha kulazimishwa: Je, Chadema wako tayari kurudi kwa nguvu?
Itakumbukwa kuwa Juni 10,2025 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, ilizuia kwa muda shughuli za kisiasa za chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, baada ya aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho upande…
-

Bei ya mafuta yapanda, masoko ya hisa yachanganyika kutokana na sintofahamu ya vita vya Iran
Bei ya mafuta imepanda huku masoko ya hisa yakionyesha mwelekeo tofauti leo Jumanne, kutokana na kutokuwa na uhakika kuhusu hatma ya vita vya Mashariki ya Kati .












