Mwanzo TV
-

ACT Wazalendo yamtaka Katambi kuachia mikutano ya hadhara
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuacha hatua za kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, akisema zinaenda kinyume na…
-

Rais Samia awaonya Wanaharakati, asema Tanzania haitasita kutumia nguvu kuhami raia wake
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaonya wanaharakati wote wanaojihusisha na shughuli za kuchochea vurugu nchini akisema kuwa wanachofanya ni ugaidi huku akienda mbali zaidi kwa kutafsiri neno Ugaidi.
-

Ukandamizaji wa kisiasa waongezeka Uganda
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni mwana wa Rais na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, katika wiki za hivi karibuni ameagiza kukamatwa kwa wanaharakati mashuhuri, wanasiasa na mawakili. Aidha,…
-

Mwanasiasa mkongwe wa Uganda Miria Matembe aripotiwa kutekwa Kampala
Mwanasiasa mkongwe wa Uganda na mtetezi wa haki za wanawake, Miria Matembe, mwenye umri wa miaka 72, ameripotiwa kutekwa na watu wanaodhaniwa kuwa maofisa wa usalama baada ya kujificha kwa siku mbili kufuatia msako uliofanywa…
-

Mwana wa Museveni asema haamini uhuru wa vyombo vya habari, aagiza kufungwa kwa NTV na Daily Monitor
Mkuu wa Jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kufungwa kwa taasisi ya habari ya Nation Media Group (NMG), inayomiliki gazeti la Daily Monitor, kituo cha televisheni cha NTV Uganda pamoja na vituo kadhaa vya…
-

Afrika yakabiliwa na upungufu wa dawa ya usingizi kwa upasuaji wa watoto
Halothane bado inatumika kwa kiasi kikubwa katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kuwapa watoto usingizi wakati wa upasuaji. Sababu kuu ni kwamba dawa hiyo ni nafuu zaidi, ikiwa na gharama mara saba…











