Mwanzo TV
-

Bunge la Ulaya laitaka Tume ya Ulaya kusitisha msaada wa euro milioni 156 kwa Tanzania
Wabunge wa Bunge la Ulaya wamepitisha azimio linaloitaka Tume ya Ulaya kuondoa pendekezo lake la kutoa msaada wa euro milioni 156 kwa Tanzania katika mwaka 2026, wakieleza kuwa hali ya haki za binadamu, demokrasia na…
-

Bunge la Marekani laidhinisha muswada wa kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania
Kamati ya Mahusiano ya Kigeni yabunge la Marekani imeidhinisha miswada mitano ya sera za mambo ya nje, ikiwemo muswada unaotaka kufanyika kwa tathmini ya kina ya uhusiano kati ya Marekani na Tanzania kufuatia kile wabunge…
-

Waitara amvaa Simai kwa kauli ya “Yuda” bungeni, ataka amtaje anayemlenga
Katika mchango wake, Waitara alisema viongozi wanapaswa kuwa waangalifu wanapozungumza hadharani ili kulinda umoja wa kitaifa na kuzuia kauli zinazoweza kuibua taharuki au migawanyiko katika jamii.
-

Jamhuri na Lissu kukutana tena Mahakama ya Rufani kesho kuhusu ushahidi wa ACP Mahamba
Ni hatua nyingine muhimu katika kesi ambayo imeendelea kuvuta hisia za wananchi ndani na nje ya Tanzania tangu Lissu alipokamatwa Aprili 9, 2025 na kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
-

“Yuda Yuko Wapi?” kauli ya mbunge bungeni yazua maswali kuhusu uaminifu ndani ya Serikali
Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027 umechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Jimbo la Tunguu, Zanzibar, Simai Mohammed Said, kutoa kauli kali dhidi ya kile alichodai kuwa ni…
-

Mgomo wa usafiri Kenya kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta waingia siku ya pili
Waendeshaji wa matatu walishindwa kufikia makubaliano ya kupunguza bei katika mazungumzo na serikali siku ya jana Jumatatu, hali iliyosababisha mgomo huo kuendelea.
-

Wanasiasa na Wanaharakati waishambulia Ofisi ya Msajili kwa kutishia kuifuta Chadema
Ukosoaji huo umeongezeka katika mtandao wa X, ambapo viongozi mbalimbali wa kisiasa, wanasheria na watetezi wa haki za binadamu wameeleza wasiwasi wao kuhusu kile wanachodai kuwa ni matumizi ya mamlaka yanayoweza kuhatarisha demokrasia na ushindani…










