Tanzania
-

Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Ebola, mgonjwa akifariki
Kenya imerekodi kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo (BDBV), baada ya raia mmoja wa Kenya aliyekuwa akiishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufariki kutokana na ugonjwa huo. Waziri wa Afya…
-

Speaker Wetang’ula Calls for Stronger EALA Role in East African Integration
National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has called on the East African Legislative Assembly (EALA) and parliaments across the region to rise to the occasion by translating regional policies into laws and supporting projects capable of…
-

Ruto Aeleza Kwa Nini Lamu Ilikuwa Chaguo Bora Kwa Kiwanda cha Dangote
Rais William Ruto ameeleza kwa mara ya kwanza sababu zilizopelekea Kaunti ya Lamu nchini Kenya ikachaguliwa kama eneo bora zaidi kujengwa kiwanda cha kusafisha mafuta, akisema uamuzi huo ulitokana na tafiti za kitaalamu zilizoonyesha kuwa…
-

Tanzania lifts ban on public gatherings
Police have announced it will resume receiving notices from organisers of public meetings, citing an improvement in the country’s security situation.
-

Tanzania yatetea mpango wa uhamaji wa hiari Ngorongoro mbele ya UNESCO
Serikali ya Tanzania imeutetea mpango wa uhamaji wa hiari wa wakazi wa Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mbele ya Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO, ikisema hatua hiyo inalenga kulinda haki za binadamu, kuhifadhi…
-

Madeleka afunga ukurasa wa ACT Wazalendo, ageukia harakati za haki
Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu Peter Madeleka ametangaza rasmi kujiondoa ndani ya Chama cha ACT Wazalendo, akisema anataka kutumia muda na nguvu zake zaidi katika kupigania haki za wananchi na ustawi wa taifa…
-

Tanzanian Lawyer Peter Madeleka Leaves ACT Wazalendo
Madeleka joined ACT Wazalendo after leaving CHADEMA, where he had been a longtime member and supporter.
-

Shahidi Wa Jamhuri Asema Hajui Kama Lissu Ni Wakili Kitaaluma
Shahidi wa nne katika kesi ya Kikatiba ambaye ni Mkuu wa Gereza la Ukonga Edward Shabani amesema hafahamu wala hajui kwamba Tundu Lissu ni Wakili kitaaluma na aliwahi pia kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria…
-

Witness: I will not allow Chadema leaders to see Lissu in prison until the trial is completed
In one of the most emotional exchanges in court, a witness said he could not allow some of the leaders named by Lissu to visit him until the case was over.








