Tanzania na Kenya zilivyozima maandamano ya maadhimisho ya Saba Saba
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, nchi zote mbili zimekumbwa na maandamano makubwa ya wananchi na kujibu kwa matumizi makubwa ya nguvu kutoka kwa vyombo vya dola.
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, nchi zote mbili zimekumbwa na maandamano makubwa ya wananchi na kujibu kwa matumizi makubwa ya nguvu kutoka kwa vyombo vya dola.
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni mwana wa Rais na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, katika wiki za hivi karibuni ameagiza kukamatwa kwa wanaharakati mashuhuri, wanasiasa na mawakili. Aidha, ameamuru kufungwa kwa kundi kubwa la vyombo huru vya habari nchini.
Mwanasiasa mkongwe wa Uganda na mtetezi wa haki za wanawake, Miria Matembe, mwenye umri wa miaka 72, ameripotiwa kutekwa na watu wanaodhaniwa kuwa maofisa wa usalama baada ya kujificha kwa siku mbili kufuatia msako uliofanywa nyumbani kwake eneo la Luzira, jijini Kampala.
Mkuu wa Jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kufungwa kwa taasisi ya habari ya Nation Media Group (NMG), inayomiliki gazeti la Daily Monitor, kituo cha televisheni cha NTV Uganda pamoja na vituo kadhaa vya redio, akisema haamini katika uhuru wa vyombo vya habari.
Halothane bado inatumika kwa kiasi kikubwa katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kuwapa watoto usingizi wakati wa upasuaji. Sababu kuu ni kwamba dawa hiyo ni nafuu zaidi, ikiwa na gharama mara saba hadi kumi chini ya mbadala wake wa kisasa, sevoflurane.
Kamati ya Mahusiano ya Kigeni yabunge la Marekani imeidhinisha miswada mitano ya sera za mambo ya nje, ikiwemo muswada unaotaka kufanyika kwa tathmini ya kina ya uhusiano kati ya Marekani na Tanzania kufuatia kile wabunge wa Marekani wanachokitaja kuwa kuongezeka kwa vurugu za kisiasa na kudorora kwa demokrasia nchini humo.
Katika mchango wake, Waitara alisema viongozi wanapaswa kuwa waangalifu wanapozungumza hadharani ili kulinda umoja wa kitaifa na kuzuia kauli zinazoweza kuibua taharuki au migawanyiko katika jamii.
Marekani na Iran zimetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha vita vya Mashariki ya Kati katika maeneo yote ya mapigano, ikiwemo Lebanon, pamoja na kufungua tena Mlango wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Katika simulizi yake iliyojaa taharuki, Jumbe amesema tukio hilo lilianza majira ya saa nne usiku akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake Mabwepande, Bunju, akiwa ameambatana na rafiki yake aliyemtaja kwa jina la Macha.
Waendeshaji wa matatu walishindwa kufikia makubaliano ya kupunguza bei katika mazungumzo na serikali siku ya jana Jumatatu, hali iliyosababisha mgomo huo kuendelea.